Mwanzo 12:19 BHN

19 Kwa nini ulisema ni dada yako hata nikamchukua kuwa mke wangu? Basi, sasa mkeo ndiye huyo. Mchukue uende zako!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 12

Mtazamo Mwanzo 12:19 katika mazingira