Mwanzo 12:4 BHN

4 Kwa hiyo, Abramu akaondoka kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru; na Loti akaenda pamoja naye. Abramu alikuwa na umri wa miaka 75 alipotoka Harani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 12

Mtazamo Mwanzo 12:4 katika mazingira