Mwanzo 13:18 BHN

18 Kwa hiyo, Abramu akangoa hema, akaenda kukaa karibu na mialoni ya Mamre kule Hebroni; huko akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 13

Mtazamo Mwanzo 13:18 katika mazingira