Mwanzo 13:8 BHN

8 Basi, Abramu akamwambia Loti, “Kusiwe na mafarakano kati yetu wala kati ya wachungaji wako na wachungaji wangu, kwa sababu sisi ni jamaa moja.

Kusoma sura kamili Mwanzo 13

Mtazamo Mwanzo 13:8 katika mazingira