11 Basi, wale walioshinda, wakateka mali yote ya Sodoma na Gomora, kadhalika na mazao yao, wakaenda zao.
Kusoma sura kamili Mwanzo 14
Mtazamo Mwanzo 14:11 katika mazingira