Mwanzo 14:13 BHN

13 Mtu mmoja aliyeponyoka, akaenda kumwarifu yule Mwebrania Abramu ambaye alikuwa anaishi karibu na mialoni ya Mwamori Mamre. Mamre alikuwa ndugu yake Eshkoli na Aneri. Wote walikuwa wamefanya agano na Abramu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 14

Mtazamo Mwanzo 14:13 katika mazingira