Mwanzo 14:9 BHN

9 (yaani Soari), wakaingia vitani katika bonde la Sidimu kupigana na Kedorlaomeri mfalme wa Elamu, Tidali mfalme wa Goiimu, Amrafeli mfalme wa Shinari na Arioko mfalme wa Elasari; wafalme wanne dhidi ya wafalme watano.

Kusoma sura kamili Mwanzo 14

Mtazamo Mwanzo 14:9 katika mazingira