Mwanzo 15:18 BHN

18 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu akafanya agano na Abramu akisema, “Wazawa wako ninawapa nchi hii, toka mto wa Misri hadi ule mto mkubwa wa Eufrate,

Kusoma sura kamili Mwanzo 15

Mtazamo Mwanzo 15:18 katika mazingira