Mwanzo 16:11 BHN

11 Kisha huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Wewe ni mjamzito na utajifungua mtoto wa kiume; utamwita Ishmaeli, maana Mwenyezi-Mungu amesikia mateso yako.

Kusoma sura kamili Mwanzo 16

Mtazamo Mwanzo 16:11 katika mazingira