Mwanzo 16:13 BHN

13 Basi, Hagari akampa jina Mwenyezi-Mungu aliyezungumza naye huko, “Wewe ni Mungu Aonaye” kwa maana alifikiri, “Kweli hapa nimemwona yeye anionaye!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 16

Mtazamo Mwanzo 16:13 katika mazingira