Mwanzo 17:1 BHN

1 Wakati Abramu alipokuwa na umri wa miaka tisini na tisa, Mwenyezi-Mungu alimtokea, akamwambia, “Mimi ni Mungu mwenye nguvu. Fuata mwongozo wangu na kuishi bila lawama.

Kusoma sura kamili Mwanzo 17

Mtazamo Mwanzo 17:1 katika mazingira