Mwanzo 17:23 BHN

23 Kisha, siku hiyohiyo, Abrahamu akamtahiri mwanawe Ishmaeli na kuwatahiri watumwa wote wa kiume waliozaliwa nyumbani mwake na walionunuliwa kwa fedha zake, kama Mungu alivyomwamuru.

Kusoma sura kamili Mwanzo 17

Mtazamo Mwanzo 17:23 katika mazingira