Mwanzo 18:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu alimtokea Abrahamu penye mialoni ya Mamre. Abrahamu alikuwa ameketi penye mlango wa hema lake wakati wa joto la mchana,

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:1 katika mazingira