Mwanzo 18:12 BHN

12 Kwa hiyo, Sara alicheka kimoyomoyo akisema, “Mimi ni mzee, na mume wangu hali kadhalika. Je, nikiwa mzee hivi, nitaweza kufurahi na kupata watoto?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:12 katika mazingira