Mwanzo 18:19 BHN

19 Nimemchagua yeye na wazawa wake. Yeye atawafunza wazawa wake kushika njia yangu: Wawe waadilifu na wenye kutenda mambo ya haki, nami nipate kuwatimizia ahadi zangu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:19 katika mazingira