Mwanzo 18:5 BHN

5 Wakati mnapopumzika, nitaandaa chakula kidogo, mle, ili mpate nguvu za kuendelea na safari yenu; maana mmenijia mimi mtumishi wenu.” Nao wakasema, “Sawa! Fanya kama ulivyosema.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:5 katika mazingira