Mwanzo 19:12 BHN

12 Wale watu wawili wakamwambia Loti, “Je, una mtu mwingine hapa, pengine wana, mabinti, wachumba wa binti zako au watu wengine wa jamaa yako wanaoishi mjini humu? Watoe mahali hapa haraka,

Kusoma sura kamili Mwanzo 19

Mtazamo Mwanzo 19:12 katika mazingira