Mwanzo 19:15 BHN

15 Kulipokucha, malaika wakamhimiza Loti wakisema, “Amka, mchukue mkeo na hawa binti zako wawili msije mkaangamia wakati mji huu unapoadhibiwa.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 19

Mtazamo Mwanzo 19:15 katika mazingira