28 Akiwa hapo, akatazama chini pande za Sodoma na Gomora na eneo lote la bondeni, akashangaa kuona moshi ukipanda, moshi kama wa tanuri kubwa.
Kusoma sura kamili Mwanzo 19
Mtazamo Mwanzo 19:28 katika mazingira