33 Usiku huo wakamlevya baba yao kwa divai, na yule binti wa kwanza akaenda akalala naye. Lakini baba yake hakujua wakati bintiye alipolala naye, wala alipoondoka.
Kusoma sura kamili Mwanzo 19
Mtazamo Mwanzo 19:33 katika mazingira