Mwanzo 2:7 BHN

7 Basi, Mwenyezi-Mungu akamfanya mwanamume kwa mavumbi ya udongo, akampulizia puani pumzi ya uhai, na huyo mwanamume akawa kiumbe hai.

Kusoma sura kamili Mwanzo 2

Mtazamo Mwanzo 2:7 katika mazingira