14 Hivyo, asubuhi na mapema, Abrahamu akachukua chakula na kiriba cha maji, akampa Hagari na kumtwika begani; akamfukuza pamoja na mwanawe. Hagari akaondoka, akawa anatangatanga nyikani Beer-sheba.
Kusoma sura kamili Mwanzo 21
Mtazamo Mwanzo 21:14 katika mazingira