16 Naye akaenda kando, akaketi umbali wa kama mita 100 hivi, akisema moyoni mwake, “Heri nisimwone mwanangu akifa.” Na alipokuwa ameketi hapo, mtoto akalia kwa sauti.
Kusoma sura kamili Mwanzo 21
Mtazamo Mwanzo 21:16 katika mazingira