Mwanzo 21:19 BHN

19 Mungu akamfumbua Hagari macho, naye akaona kisima cha maji. Akaenda akajaza kiriba maji, akamnywesha mtoto wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 21

Mtazamo Mwanzo 21:19 katika mazingira