Mwanzo 21:23 BHN

23 Kwa hiyo niapie kwa jina la Mungu kwamba hutanifanyia hila mimi au watoto wangu au wazawa wangu. Kadiri mimi nilivyokuwa mwaminifu kwako, vivyo hivyo nawe uwe mwaminifu kwangu na kwa nchi hii unamokaa.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 21

Mtazamo Mwanzo 21:23 katika mazingira