Mwanzo 22:17 BHN

17 hakika nitakubariki, na wazawa wako nitawazidisha kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ufuoni mwa bahari. Wazawa wako wataimiliki miji ya adui zao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:17 katika mazingira