Mwanzo 22:19 BHN

19 Basi, Abrahamu akawarudia wale watumishi wake, nao kwa pamoja wakaondoka, wakarudi Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba.

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:19 katika mazingira