Mwanzo 22:9 BHN

9 Walipofika mahali ambapo Mungu alimwagiza, Abrahamu akajenga madhabahu na kupanga kuni juu yake. Kisha akamfunga Isaka mwanawe na kumlaza juu ya kuni juu ya madhabahu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:9 katika mazingira