Mwanzo 23:16 BHN

16 Abrahamu akakubaliana na Efroni, akampimia kiasi cha fedha alichotaja mbele ya Wahiti wote, fedha shekeli 400, kadiri ya vipimo vya wafanyabiashara wa wakati huo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 23

Mtazamo Mwanzo 23:16 katika mazingira