Mwanzo 23:2 BHN

2 Alifia huko Kiriath-arba, yaani Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akaomboleza na kumfanyia matanga Sara mkewe.

Kusoma sura kamili Mwanzo 23

Mtazamo Mwanzo 23:2 katika mazingira