Mwanzo 23:20 BHN

20 Shamba na pango lililokuwamo humo lilithibitishwa na Wahiti liwe mali yake Abrahamu apate kuzika humo wafu wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 23

Mtazamo Mwanzo 23:20 katika mazingira