Mwanzo 23:6 BHN

6 “Ee bwana wetu, tusikilize; wewe ni kiongozi maarufu miongoni mwetu. Mzike marehemu mkeo katika kaburi lolote utakalojichagulia; hakuna yeyote miongoni mwetu atakayekunyima kaburi lake, wala kukuzuia kumzika marehemu mkeo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 23

Mtazamo Mwanzo 23:6 katika mazingira