Mwanzo 24:12 BHN

12 Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:12 katika mazingira