Mwanzo 24:15 BHN

15 Kabla hajamaliza kuomba, mara Rebeka, binti Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu yake Abrahamu, akafika amebeba mtungi wake begani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:15 katika mazingira