Mwanzo 24:17 BHN

17 Ndipo yule mtumishi akaharakisha kukutana naye, akamwambia, “Tafadhali, nipatie maji ya kunywa kutoka mtungi wako.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:17 katika mazingira