Mwanzo 24:22 BHN

22 Ngamia walipotosheka kunywa maji, yule mtu akampa huyo msichana pete ya dhahabu yenye uzito upatao gramu sita, na bangili mbili za dhahabu za gramu kumi kila moja.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:22 katika mazingira