Mwanzo 24:27 BHN

27 akisema, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye hajasahau fadhili zake na uaminifu wake kwa bwana wangu. Mwenyezi-Mungu ameniongoza mimi mwenyewe moja kwa moja hadi kwa jamaa ya bwana wangu!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:27 katika mazingira