Mwanzo 24:40 BHN

40 Lakini yeye akasema, ‘Mwenyezi-Mungu aniongozaye maishani mwangu, atamtuma malaika wake aende pamoja nawe na kukufanikisha katika safari yako; nawe utamtwalia mwanangu mke kutoka kwa jamaa yangu na nyumba ya baba yangu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:40 katika mazingira