Mwanzo 24:5 BHN

5 Mtumishi akamwambia, “Huenda mwanamke huyo atakataa kufuatana nami kuja huku, ikiwa hivyo, je, ni lazima nimrudishe mwanao nchini ulikotoka?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:5 katika mazingira