Mwanzo 24:65 BHN

65 na kumwuliza mtumishi wa Abrahamu, “Ni nani yule mtu anayetembea kule shambani, anakuja kutulaki?” Yule mtumishi akasema, “Ni bwana wangu.” Basi, Rebeka akatwaa shela yake, akajifunika uso.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:65 katika mazingira