Mwanzo 24:8 BHN

8 Iwapo mwanamke huyo hatapenda kufuatana nawe hadi huku, basi kiapo changu hakitakufunga, lakini kwa vyovyote vile usimrudishe mwanangu huko.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:8 katika mazingira