Mwanzo 25:18 BHN

18 Wazawa wa Ishmaeli walikaa katika eneo lililo kati ya Hawila na Shuri, mashariki ya Misri, kuelekea Ashuru. Walikaa kwa utengano na wazawa wengine wa Abrahamu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:18 katika mazingira