Mwanzo 25:27 BHN

27 Watoto hao wakakua; Esau akawa mwindaji hodari, mpenda maisha ya mbugani, na Yakobo akawa mtu mtulivu, mpenda maisha ya nyumbani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:27 katika mazingira