Mwanzo 25:30 BHN

30 Kwa hiyo akamwambia Yakobo, “Nafa njaa; tafadhali, nigawie chakula hicho chekundu nile.” (Ndiyo maana walimpanga jina Edomu yaani mwekundu).

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:30 katika mazingira