Mwanzo 25:33 BHN

33 Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Basi, Esau akamwapia na kumwuzia Yakobo haki yake ya mzaliwa wa kwanza.

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:33 katika mazingira