Mwanzo 26:15 BHN

15 Wafilisti walikuwa wamevifukia visima vyote vya maji ambavyo watumishi wa Abrahamu, baba yake, walikuwa wamechimba wakati alipokuwa bado hai.

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:15 katika mazingira