Mwanzo 26:20 BHN

20 wachungaji wa hapo Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, “Maji haya ni yetu.” Hivyo Isaka akakiita kisima hicho Eseki, kwa sababu waligombana naye.

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:20 katika mazingira