Mwanzo 26:22 BHN

22 Kisha Isaka akaenda mahali pengine na kuchimba kisima kingine. Lakini hicho hawakukigombania; hivyo Isaka akakiita Rehobothi akisema, “Sasa Mwenyezi-Mungu ametuachia nafasi, nasi tutastawi katika nchi hii.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:22 katika mazingira