Mwanzo 27:1 BHN

1 Isaka alikuwa amezeeka na macho yake yalikuwa hayaoni. Basi, alimwita Esau mwanawe mkubwa, akamwambia, “Mwanangu!” Naye akaitika “Naam baba, nasikiliza!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:1 katika mazingira