Mwanzo 27:15 BHN

15 Kisha Rebeka akatwaa mavazi bora ya Esau, mwanawe mkubwa, aliyokuwa nayo nyumbani, akamvika Yakobo, mwanawe mdogo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:15 katika mazingira